Tangazo: MABADILIKO YA JINA LA CHUO CHA UTABIBU (KCOTC)

                 SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA

                           KEC LOGO
            

 

 

 


                           TANGAZO

MABADILIKO YA JINA LA CHUO CHA UTABIBU (KCOTC)

MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA ANATANGAZA MABADILIKO YA JINA LA CHUO CHA “KIBAHA CLINICAL OFFICERS TRAINING COLLEGE” KUWA “KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCIES”.

AIDHA, MABADILIKO HAYO  YAMEFANYIKA KUTOKANA NA SHIRIKA KUONA UMUHIMU WA KUPANUA WIGO KUTOKA KUFUNDISHA FANI YA UTABIBU PEKEE  AMBAPO KWA SASA FANI ZA UUGUZI, MAABARA NA MADAWA ZIMEONGEZWA NA HIVYO KUONGEZA HADHI YA CHUO HICHO.

TAYARI BARAZA LA MAFUNZO YA ELIMU NA UFUNDI STADI (NACTE) LIMEKUBALI MABADILIKO YA JINA LA CHUO HICHO KUWA KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCIES”(KCOHAS) KWA LUGHA YA  KISWAHILI CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KIBAHA (CHASSKI).

IMETOLEWA NA:

 

 

KITENGO CHA UHUSIANO NA MAWASILIANO

SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA