Tangazo: TAREHE YA KUFUNGA NA KUFUNGUA SHULE

TANGAZO

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Tumbi anawajulisha Wazazi wa Wanafunzi kuwa, Shule ya Msingi  Tumbi itafungwa rasmi tarehe 4, Desemba,2015 kwa ajili ya likizo.

Aidha, Shule itafunguliwa tarehe 11 Januari ,2016. Wazazi wanakumbushwa kuhakikisha watoto wao wanakuwa na sare za Shule. Anawatakia heri ya Sikukuu ya Krismas na mwaka mpya

Imetolewa na :Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Shirika la Elimu Kibaha