Tangazo: TAREHE YA KUFUNGA NA KUFUNGUA SHULE

 Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibaha  anawajulisha Wazazi wa Wanafunzi  kuwa, Shule ya  Sekondari Kibaha  itafungwa rasmi tarehe 4, Desemba,2015 kwa ajili ya likizo.

Aidha, Shule itafunguliwa tarehe 11 Januari ,2016. Wazazi wanakumbushwa kuhakikisha watoto wao wanakuwa na sare za Shule.  Mkuu wa Shule anawatakia heri ya Sikukuu ya Krismas na mwaka mpya.

Imetolewa na : Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Shirika la Elimu Kibaha