Tangazo: FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA SEKONDARI YA KIBAHA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kibaha anawapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Shule ya  Sekondari ya Kibaha . Fomu za kujiunga na Shule ya Sekondari Kibaha zinapatikana katika Tovuti hii sehemu ya machapisho.

Wote mnakaribishwa .

Imetolewa Na: Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano

                      Shirika la Elimu kibaha