Tangazo: MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI

 TANGAZO

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibaha anatoa taarifa kwa Umma kuwa Shule ya Sekondari Kibaha imefanya vizuri katika Mtihani wa Taifa wa kidato cha pili kwa mwaka 2015.

Matokeo ni kama ifuatavyo: Wanafunzi 104 wamepata distinction,11 wamepata Merit ,  wanafunzi 4 wamepata credit na mwanafunzi 1 amepata pass huku kukiwa hakuna Zero.

Shule ya Sekondari ya Kibaha itaendelea kutoa Elimu bora kwa wote