Tangazo: KUSITISHWA KWA NAFASI ZA KAZI

Wananchi wote mnafahamishwa kuwa nafasi za kazi  zilizotangazwa tarehe 8 Juni,2016 kuwa zimesitishwa kwa muda mpaka itakapotangazwa tena.

Imetolewa na :        Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano

 Shirika la Elimu Kibaha