Maendeleo ya Jamii

Kurugenzi ya Maendeleo ya Jamii

KURUGENZI YA MAENDELEO YA JAMII INA KAZI MUHIMU ZIFUATAZO

 1. Kuendesha mafunzo ya ufundi katika chuo cha Maendeleo ya ufundi kibaha sambamba na sera ya serikali ya mafunzo.

 2. Kubuni na kutekeleza miradi ya miradi mbalimbali ya kujitegemea ili kuongeza pato katika shirika.

 3. Kuvumbua na kutumia teknolojia sahihi kwa wakulima wadogo.

 4. Kutekeleza sera ya mifugo na uzalishaji wa mazao katika kituo.

 5. Kuendesha mafunzo ya uzalishaji wa kilimo na ufugaji kwa wakulima wadogo.

 6. Kuzalisha mzao kwa njia bora zaidi iwezekanavyo ili kupata soko sahihi la bidhaa hizo.

 7. Kutathimini utendaji mashambani mara kwa mara.

 8. Kuratibu tafiti katika kurugenzi kwa lengo la kuboresha uzalishaji na shughuli za kimaendeleo ndani ya shirika.

 9. Kukuza usawa wa kijinsia kwa wanawake kwenye jamii na shirika kwa ujumla.

 10. Kutoa huduma za ustawi kwa makundi maalumu kama vile watoto,wazee, wajane wa wenye ulemavu.

 11. Kuendesha miradi mbalimbali katika kupambana na VVU na ukimwi kwa kushirikiana na kurugenzi ya Huduma za afya.