Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Shirika La Elimu Kibaha
Rais Mtaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea picha iliyochorwa wakati wa mahafali ya 50 ya KSS 2017
Skauti wa Kiume akionesha umahiri wakati wa mahafali ya 50 ya Kidato cha nne KSS 2017
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha Bw. Robert Shilingi akitoa maelezo kuhusu Shirika wakati wa mahafali ya Kidato cha nne KSS 2017
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Maabara ya kemia wakati wa mahafali ya 50 ya Kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kibaha
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha Bw. Robert Shilingi akizindua rasmi mpango wa mashirikiano kati ya Shirika la Elimu Kibaha na Chuo cha Biashara cha Thoren cha nchini Sweden katika ukumbi wa B. Merlin
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akimsalimu Mwenyekiti wa Bodi ya SEK Profesa Patrick Makungu alipofanya ziara tarehe 15 Februari,2016.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Elimu Kibaha Bi Chiku Wahady akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu Afya Dkt. Zainab Chaula kuzungumza na Watumishi wa Hospitali ya Tumbi
UZINDUZI WA MTAMBO WA GESI
Wanafunzi wa KCOHAS wakifanya mtihani wao wa mwisho
Mkurugenzi wa Huduma za Elimu Bwana Robert Shilingi kushoto akimkabidhi funguo za madarasa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Tumbi bw. Fidelis Haule baada ya kukamilika ukarabati wa madarasa hayo.
Vijana wa Jamii ya Kimasai waliochangia damu katika Hospitali ya Tumbi
Wafanyakazi kutoka SEK wakiwa katika maandamano ya kuashiria shamrashamra za kuanza kwa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2016, ambayo yamefanyika Kimkoa katika wilaya ya Mkuranga-Mkoa wa Pwani.
Muuguzi Mkuu wa Shirika la Elimu Kibaha Patron Msafiri Sehaba kushoto akiwa na Sister Robby Moses wakikagua vitanda vinavyohitaji ukarabati baada ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Kupokea msaada wa vitanda 35 kutoka hospitali ya Kariuki ya Dar
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha wakifanya majaribio katika maabara wakati wa mitihani ya taifa ya kidato cha nne ya mwaka 2015.
Kibaha Education Centre is a multipurpose Educational Institution situated in Coast Region 40 kilometers (24 miles) West of Dar es Salaam along Morogoro Road. The Centre was started in 1963, sponsored...