ZAIDI YA WANANCHI 1,000 WAPATA TAARIFA ZA SHIRIKA.
ZAIDI YA WANANCHI 1,000 WAPATA TAARIFA ZA SHIRIKA.
Mratibu wa Maonesho ya Wakulima ya Nanenane mwaka 2025 wa Shirika la Elimu Kibaha, Bw. Sixbert Luziga akitoa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Shirika kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nzuguni jijini Dodoma. Wanafunzi hao walitembelea Banda la Shirika la Elimu Kibaha kwenye maonesho hayo yaliofanyika kwenye Viwanja vya John Malecela jijini Dodoma