Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Shirika La Elimu Kibaha

SERIKALI ITAENDELEA KUWEKEZA KATIKA ELIMU YA AFYA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA - PROF. NAGU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Profesa Tumaini Nagu akizungumza na wataalamu wa afya katika maabara ya ujuzi, wakati alipotembelea Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kibaha tarehe 17 Juni, 2025.