Habari
PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi ,Menejimenti na wafanyakazi wote wa Shirika la Elimu Kibaha wanatoa salamu za pongezi kwa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano .Tunakutakia afya njema katika kutekeleza majukumu ya kutumikia taifa la Tanzania
Imetolewa na :
KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA