Habari

SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA LAJITANGAZA VYEMA KWENYE MAONESHO YA VIWANDA


Tarehe 8/11/2019

  Pwani yaliyofanyika katika viwanja vya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

 ambapo aliwakilishwa na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Eng  Stela Manyanya .

  Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi . Pia Shughuli za Maktaba ya Mkoa wa Pwani zilioneshwa ikiwemo vifaa maalum vya kielektroniki (tablets) ambavyo vinatumika kufundishia wanafunzi kwa urahisi zaidi.

Miongoni mwa Wageni waliotembelea Banda hilo ni Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Peter Kayanza Pinda ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi katika siku ya kufunga maonesho hayo tarhe 23/11/2019.  Alipatiwa maelezo ya kutosha kuhusu filosofia ya Haysati Mwl Julius Kambarage Nyerere ya KUONDOA Ujinga, Maradhi na Umasikini ambapo ndio chumbuko la kuanzishwa kwa Shirika la Elimu Kibaha.