Habari

Uvunaji wa Hay


Ni bunda la majani makavu kwa ajili ya kulisha wanyama kama ng’ombe, mbuzi.

Bunda moja lina uzito wa kilogramu 15 na lina uwezo wa kulisha ng’ombe wawili kwa siku.

Faida

  • 1.Yanarahisisha wakati wa ukame kupata malisho ya mifugo inayokula majani.
  • 2.Ni moja ya chanzo cha mapato

Hekari moja ya majani haya ina uwezo wa kutoa bunda 150

Shirika la Elimu Kibaha kupitia kitengo cha uzalishaji mifugo na mazao linamiliki zaidi ya hekari 25 za kilimo cha majani hayo.

Elimu ya kilimo na uhifadhi wa majani hayo inatolewa na Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha (KFDC) ambacho ni sehemu ya Shirika la Elimu Kibaha (KEC) kwenye kozi ya Mifugo.