Directorate of Administration and Human Resources

Malengo

Kutoa huduma za kitaalam za Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu kwa Shirika la Elimu Kibaha.

Kazi

i.Kutoa ushauri juu ya masuala ya Utawala na Rasilimali watu

ii.Kupanga mikakati juu ya masuala ya Utawala na Rasilimali watu kama vile ajira ,maendeleo ya rasilimali watu na mafunzo ,upandishaji vyeo, nidhamu, motisha na na ustawi na usimamizi wa utendaji .

iii.Kusimamia matumizi ya rasilimali watu shirikani.

iv.Kukusanya, kuchambua, kuhifadhi takwimu na mipango kuhusiana na maendeleo ya rasilimali watu.

v. Kutoa uhusiano kati ya Kituo na ofisi za umma usimamizi na utekelezaji wa Rasilimali watu na Usimamizi wa kituo;

vi.Kutoa takwimu zitakazo saidia kuwa na vielelezo mbalimbali kuhusiana na rasilimali watu

vii.Kutoa huduma za uendelezaji wa shirika katika maeneo husika kama vile kuhusisha muundo wa shirika na miundo ya utumishi ,uchambuzi wa kazi na orodha za kazi na majukumu.

viii.Kushughulikia mafao ya watumishi stahiki na likizo za wafanyakazi,

ix.Kuwa kiunganishi kati ya shirika, ofisi ya Rais, menejimenti ya utumishi wa umma pamoja na msajili wa hazina.