Kitengo cha Sheria

Lengo

Kutoa muungozo kazi wa sheria na huduma kwa SEK kwa kukuza,kulinda maendeleo ya shughuli zake;

Kazi

i.Kushauri menejimenti ya sheria za usimamizi wa sera zinazopendekezwa; 
ii.Kuangalia mabadiliko ya sheria mbalimbali na kuchukua hatua stahiki;  
iii.Kukagua nyaraka zote za sheria zinazotoka nje ya kituo ambazo zina maslahi na kituo;
iv.Kusimamia uundaji wa Rasimu ya mikataba na nyaraka za kisheria;
v.Kuandaa ushauri wa kisheria kwa ufupi katika mashauri yanayohusu kituo na kuwakilisha mahakamani;