PUMZIKA KWA AMANI

The News Image

SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA  


PUMZIKA KWA AMANI MH.BENJAMIN WILLIAM MKAPA 

BODI YA WAKURUGENZI ,MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA IMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA MSIBA WA RAIS MSTAAFU MH. BENJAMIN WILLIAM MKAPA.

TUNATOA POLE KWA FAMILIA ,NDUGU,MARAFIKI,SERIKALI NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA KUONDOKEWA NA KIONGOZI MUADILIFU MZALENDO NA ALIYEKUWA NA MAPENZI MEMA NA NCHI YAKE. 

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

AMEN