Habari

Shirika la Elimu Kibaha lasheherekea miaka hamsini toka kuanzishwa kwake


Shirika la Elimu Kibaha linatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake maadhimisho hayo yatafunguliwa  tarehe 6/01/2020 na Mhe. Evarist Ndikilo Mkuu wa Mkoa wa Pwani na kilele ni tarehe10/01/2020 ambapo mgeni rasmi atakuwa Mhe. Selemani Jafo Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi.


Katika maadhimisho haya kutakuwa na maonesho ya kazi mbalimbali zinazofanywa na Shirika ,pia zitakuwepo huduma mbalimbali kama vile upimaji wa Afya, tiba ya meno na kinywa,upimaji wa presha ,uchangiaji wa damu p,shughuli za ujasiriamali na usajili wa line za simu.

Wote Mnakaribishwa