Karibu

Hii ni tovuti ya Shirika la Elimu Kibaha. Kupitia taarifa mbalimbali zilizopo kwenye tovuti hii utakuwa na uhakika wa kulifahamu Shirika la Elimu Kibaha na kupata taarifa mbalimbali za Kurugenzi na Vitengo, matukio na miradi inayotekelezwa kwenye Shirika la Elimu Kibaha. Karibu Sana.