Kurugenzi na Vitengo
Shirika la Elimu Kibaha lina Vitengo 7 na Kurugenzi 5 kama ifuatavyo:-
- 1.Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
- 2.Kitengo cha Mali na Ujenzi
- 3.Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini
- 4.Kitengo cha Uhusiano, Mawasiliano na Masoko
- 5.Kitengo cha Ununuzi na Usimamizi wa Vifaa
- 6.Kitengo cha Huduma za Sheria
- 7.Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
- 8.Kurugenzi ya Huduma za Afya
- 9.Kurugenzi ya Maendeleo ya Jamii, Mafunzo, Utafiti na Uzalishaji
- 10.Kurugenzi ya huduma za Elimu
- 11.Kurugenzi ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
- 12.Kurugenzi ya Fedha na Hesabu