Habari
SERA YA VVU/UKIMWI MAHALI PA KAZI YA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA YAZINDULIWA RASMI

SERA YA VVU/UKIMWI MAHALI PA KAZI YA SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA YAZINDULIWA RASMI
Tarehe 9/08/2017
Sera ya UKIMWI/VVU mahali pa kazi ya Shirika la Elimu Kibaha imezizinduliwa rasmi kwa ajili ya kuanza utekelezaji. Sera hii muhimu ni kwa ajili ya mustakabali ya wafanyakazi waliopata maambukizi ya VVU/UKIMWI.
kwani itawawezesha waliopata maambukizi ya VVU/UKIMWI kuendelea kutambuliwa na kupata haki zao za msingi kwa mujibu wa muongozo ya Sera ya VVU/UKIMWI mahali pa kazi katika Shirika la Elimu Kibaha.
kuhudhuria mafunzo ya namna bora ya kuandaa Sera ya UKIMWI/VVU mahali pa kazi kitu ambacho kimezaa matunda na leo Sera ya hii imezinduliwa rasmi leo.
Dkt. Msigwa amesema maambukizi ya VVU/UKIMWI ni janga la Taifa na kwamba ipo haja elimu zaidi ya maambukizi ya VVU/UKIMWI ifanyike nchi nzima ili Taifa lisiendelee kupoteza nguvu kazi.
mara moja ya kufubaza maambukizi na kuendelea kulitumikia taifa.
VVU/UKIMWI mahali pa kazi Bw. Khalfani Ferouz ambaye pia ni Afisa Utumishi Mkuu Mwandamizi wa Shirika la Elimu Kibaha amezishukuru ILO,TACAIDS NA TUKTA kwa kuwapa mafunzo hayo ambayo yamefanikisha uwepo wa Sera hii muhimu mahali pa kazi.
kuhakikisha Sera inatekelezwa, amesisitiza kutowepo kwa unyanyapaa bali kila mtu aunge mkono kwa dhati Sera hii.
Washiriki wa mafunzo walipatiwa vyeti na nakala ya Sera ya VVU/ UKIMWI ya Shirika la Elimu Kibaha ilikabidhiwa kwa Wakurugenzi wa Kurugenzi mbalimbali za Shirika pamoja na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi.