Matangazo

TAARIFA YA BKUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018



                                                    SHULE YA SEKONDARI KIBAHA

                    S.L.P. 30053, KIBAHA

                       SIMU NA. 023-2402143

                                              e-mail –Kibaha Secondary@kec.or.tz

              www.kec.or.tz


Kumb.Na.KSS/……………………….   Tarehe:……………………..

 

Ndugu:…………………………………………

…………………………………………..

……………………………………………

 

TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018

Ninayo furaha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha KWANZA mwaka wa masomo wa 2018 Unatakiwa kufika hapa shuleni tarehe 8/1/2018Nafasi yako atapewa mtu mwingine kama hutafika shuleni baada ya 23/1/ 2018.

Shule iko Kilometa 40 kutoka Dar es Salaam karibu na Kiwanda cha TANCHIN zamani TAMCO Scania kilicho upande wa kulia mwa barabara inayoelekea Morogoro).  Fuata barabara iliyo kushoto ukitokea Dar es Salaam hadi Tumbi Hospitali kilipo kituo cha mabasi nje ya Geti dogo la Hospitali. Uliza njia ya kuelekea shule ya Sekondari Kibaha.

Yafuatayo ni maelezo na maagizo ambayo unashauriwa kuyatumia kabla hujafika hapa shuleni.

1. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA:

(i) Fika shuleni ukiwa na cheti cha kuzaliwa.

(ii)   Fika na Fomu ya kupimwa ikiwa imejazwa na Daktari wa serikali

(iii)   Fika na fomu hizo zikiwa zimejazwa kikamilifu na wahusika wote.

(iv)

2. SARE YA SHULE:

(i) Anatakiwa awe na suruali mbili (DARK-BLUE)

(ii) Mashati mawili (MEUPE) yenye mikono mifupi

yenye nembo ya shule,

(iii)   Tai

(iv) Fulana(T-shirt) yenye nembo ya shule

 

(V) nguo rasmi za kushindia ambazo ni suruali mbili za rangi ya

maroon au damu ya mzeepamoja na tshirt mbili rangi ya zambarau(Hairuhusiwi kuja na nguo

za nyumbani).

 

TANBIHI

Unatakiwa ujishonee mwenyewe huko nyumbani kwa ajili ya nembo utawasiliana na uongozi wa shule

 

  (vi)Viatu jozi moja au zaidi visivyochongoka wala kuinuka mbele.  Hivi viwe vya ngozi rangi nyeusi.  Ndala

hazitaruhusiwa kuvaliwa pamoja na sare ya shule.

  (vii)Soksi fupi jozi mbili za rangi nyeusi na zisizo na mapambo yoyote.

  (viii)Aje na mkanda mweusi wa ngozi wa suruali wenye “buckle” ndogo.

(ix)Bukta au kaptura rangi ya blue kwa ajili ya michezo na kazi za mikono. 

(x)Raba za michezo jozi moja (01)

(xi) Aje na sweta (dark-blue) yenye shingo ya herufi ‘V’

xii

3. MAHITAJI MENGINE:

(i).   Kila mwanafunzi awe na Sahani, Bakuli, Kikombe, Kijiko kwa ajili ya chakula.

(ii)   Lete Shuka tatuza Bluu, mto na Foronya mbili, pamoja na

Chandarua. (ukipenda unaweza kuleta blanketi moja ingawa hali ya hewa ya Kibaha ni ya joto.Vile vile ulete taulo moja ya kuogea na vifaa vingine vya usafi wa binafsi.

(iii) Ndoo 4 kwa ajili ya kutunzia maji na kuogea lita 10.

 

(iii) Toilet Paper kumi (10) au zaidi.

(iv) Godoro moja lenye Inch (200 x 80)cm

(v) Trunker

(vi) Uje na nguo za michezo. (track suit na bukta moja rangi ya bluu

(vii)   Mpatie mwanao hela ya matumizi binafsi ikiwemo dharula na matibabu.

(viii) Mfungulie akaunti benki kwa ajili ya fedha ya matumizi, hairuhusiwi kutuma fedha kwa mwanao kupitia kwa walimu.

5. VIFAA MAALUMU:

(i) Unatakiwa ulete Mathematical set (Mkebe wa vifaa vya Mahesabu) moja.

(ii)   Kwa upande wa masomo unatakiwa kuleta daftari kubwa (counter books) zisizopungua 15

kwa muhula za kutosha kuandikia katika masomo yako yote

(iii) Alete “scientific calculator” kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita

(ii)   Unatakiwa uwe na nauli ya kurudia nyumbani wakati wa likizo. Haturuhusu

mwanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo.

(iii) Radio naPasi vinaruhusiwa shuleni na ni lazima vijulishwe shuleni kwa mwalimu mlezi wa nyumba na havitakiwi kutumika wakati wa masomo. Sauti ya redio ni lazima iwe ya chini.

(iv) Utakapofika hapa shuleni utasomewa sheria za shule na utaratibu mzima wa shule hii

na utalazimika kuufuata.  Ukikosa, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.

(v) Mwanafunzi haruhusiwi kumiliki Simu na “Ipod” shuleni. Akipatikana na vitu hivyo atasimamishwa masomo au kufukuzwa shule na simu itaharibiwa.

  (vii) Endapo mwanafunzi/mzazi/mlezi atakuwa na dharura awasiliane kwa kutumia simu ya shule.

 

7. Mwisho natumia fursa hii kwa niaba ya walimu, wafanyakazi na wanafunzi wote wa shule hii kukukaribisha hapa shuleni na naamini utatumia vizuri nafasi hii uliyopewa na Taifa ya kukuongezea elimu yako. 

 

Karibu sana.

 

Ambilikile, C.M,

Mkuu wa Shule,

SHULE YA SEKONDARI KIBAHA.

SIMU YA MKONONI: 0752 453639/0717 054360

 

Nakala kwa: Maafisa Elimu (M)

MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA – Taarifa kwa wanafunzi

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


 

 

 

 

 

 

Anuani……………………………… ………………………………………..   ………………………………………… Tarehe: …………………………..

 

 

Mkuu wa Shule,

Shule ya Sekondari Kibaha,

S.L.P. 30053,

KIBAHA

 

 

YAH: BARUA YA KUKUBALI KUJIUNGA NA SHULE HII

 

Aksante kwa barua yako Kumb.Na…………………………….. ya tarehe ………………………………..

 

(a) Nakubali/sikubali nafasi niliyopewa ya Kidato cha Kwanza/Tano kwa mwaka ………………………………………..

(b) Niko tayari/siko tayari kufuata sheria, maagizo na masharti yote ya Kibaha Sekondari

(c) Nitahudhuria/Sitahudhuria masomo yote ninayotakiwa kusoma hapa shuleni

(d)   Nikishindwa kuhudhuria bila sababu ya msingi nifukuzwe shule.

(e) Nitaleta/Sitaleta

(i) Uthibitisho wa Uraia/Cheti cha kuzaliwa

(ii) Vitu vinavyohitajika kwa matumizi yangu

(iii)   Cheti cha Afya

(iv) Fomu ya kuandikisha na habari zangu za mzazi/mlezi wangu.

 

Aksante.

 

 

 

 

…………………………….   …………………………….

JINA NA SAHIHI YA MWANAFUNZI    JINA NA SAHIHI YA MZAZI/MLEZI

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

FOMU YA KUANDIKISHA SHULENI NA HABARI ZA WAZAZI WA MWANAFUNZI

SEHEMU A: (HABARI ZA MWANAFUNZI):

1. Jina kamili (Kama kwenye mtihani)………………………………………………………………………

2. Tarehe ya kuzaliwa …………………… Dini …………………………..Dhehebu ……………………

3. Mahali na Wilaya  ulipozaliwa …………………………………………………………………………….

4. Shule ulipomaliza darasa la saba/Kidato cha IV………………………………………………..,

Mwaka uliomaliza …………………………………………………………………………………………………

5. Kidato unachokuja kuingia hapa shule ya Sekondari ya Kibaha ………………………

6. Namba yako ya mtihani darasa la saba /Kidato cha nne ilikuwa ………………………

7. Michezo unayopendelea:

 

JINA LA MCHEZO

MAHALI/SHULE

MWAKA

1

 

 

 

2

 

 

 

3

 

 

 

4

 

 

 

5

 

 

 

 

8. Kazi yeyote ya uongozi uliyowahi kufanya kama vile kiongozi wa michezo,   kwaya, ngoma, kiranja, maktaba n.k.

MADARAKA AU UONGOZI

SHULE/MAHALI

MWAKA

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

9. Mambo unayopendelea kufanya nje ya masomo (kamavile michezo, mpira, bustani, ushonaji viatu, nguo, michezo ya kuigiza). kuimba

1…………………………………….2………………………………….  3. …………………………………………

10.   Ndugu wa karibu wa mwanafunzi (wa kiume/wa kike) k.m. Mjomba, mama, shangazi, kaka, dada kufuatana na umri wao wa kuzaliwa. 

 

 

JINA LA NDUGU

KAZI ANAYOFANYA

UHUSIANO

NA MWANAFUNZI

KIWANGO CHA ELIMU

ANUANI

NAMBA YA SIMU

1.

 

 

 

 

 

 

2.

 

 

 

 

 

 

3.

 

 

 

 

 

 

4.

 

 

 

 

 

 

5.

 

 

 

 

 

 

6.

 

 

 

 

 

 

7.

 

 

 

 

 

 

8.

 

 

 

 

 

 

9.

 

 

 

 

 

 

10.